Haya ndio maneno yaliyosemwa na Habibu Mchange.
Nchi ina WANAFIKI SANA WA KISIASA HII..
Ukawa wamesusia kuapishwa Rais lakini UKAWA HAO HAO wameenda Bungeni kujiandikisha kama watahudhuria hotuba ya Rais BUNGENI na wamelipwa posho inayoendana na shughuli hiyo. sasa hii ndio kusema Baniani Mbaya kiatu chake Dawa ama? Au kwa kuwa Uwanja wa Taifa hakukuwa na POSHO?.. kungekuwa na POSHO kama kawa asingesusa mtu?...ukiamua kususa unasusa jumla sio nusu nusu. Utapeli wa kisiasa wa namna hii haufai..wangesusia vyote!

Najua ni hasira za kukosa kila kitu mdogo wangu pole saana
ReplyDelete