Malkia Elizabeth ametimiza miaka
tisini ya kuzaliwa.Malkia atasheherekea siku hii kwa kukutana na
wananchi wake katika matembezi atayafanya huko Windsor.
Malkia Elizabeth ametawala kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uingereza, muda unaokadiriwa kufikia zaidi ya sitini na nne.- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment