mwanazuoni

Maandamano ya Samaki Vietnam

Maandamano hayo yanafuatia ripoti ya serikali iliyoiondolea lawama kampuni hiyo   

Maandamano ya mji wa Hanoi nayo pia yalikuwa ya hasira kwa kile kinachooneka kuwa kujikokota kwa serikali kuchukua hatua za dharura kulinda mazingira na afya ya walaji wa samaki.
Samaki hao waliokufa walianza kupatikana wameelea baharini kuanzia mwezi uliopita.
Uchunguzi bado unaendelea kubaini nini hasa kilichosababisha idadi hiyo kubwa ya samaki kufa.BBC

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment