mwanazuoni

MCHEZAJI WA SIMBA HASSAN KESSY ASAINI YANGA RASMI

 Kuanzia kushoto ni Kaimu katibu mkuu wa Yanga Baraka, Hassan Kessy na meneja wa mchezaji huyo Athumani Tippo

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusishwa kutaka kuhama klabu ya Simba na kuhitajika na watani wa jadi wa Simba klabu ya Dar es Salaam Young Africans, hatimae leo May 9 2016 ushahidi wa picha umewekwa wazi baada ya beki Hassan Kessy kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Yanga.
 Kessy ambaye awali aliripotiwa kuwa na mgogoro na klabu ya Simba hususani baada ya kumchezea faulo mchezaji wa Toto Africans Edward Christopher alionyeshwa kadi nyekundu na siku tatu baadae Simba wakatangaza kumfungia mechi tano kutokana na kosa hilo lakini mkataba wake Simba ulikuwa unaisha.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment