Uchaguzi huo unatarajiwa kufanywa Novemba, lakini tume ya uchaguzi, imesema inaweza kuchukua miezi 16, kurekibisha orodha za wapigaji kura.
Upinzani unaona kuna jaribio la kuahirisha uchaguzi, ili kumruhusu rais Joseph Kabila abakie madarakani.
Kufuatana na katiba ya nchi hiyo kubwa ya Afrika , Rais Kabila anatakiwa kuondoka madarakani mwaka huu, baada ya kutumika kwa mihula miwili.
Hata hivyo mahakama ya kikatiba nchini humo yameamua abakie madarakani, hadi uchaguzi utapofanywa.bbc
0 comments:
Post a Comment