EDO KUMWEMBE:UJEURI WA MTANZANIA
UJEURI WA MTANZANIA...analala banda la uani, mshahara wake au biashara zake zinamuingizia shilingi laki tatu kwa mwezi, anadaiwa buku nne na Mpemba, simu yake haina vocha kwa sasa, mtoto kafukuzwa ada....lakini bado anakwambia shilingi milioni 100 aliyotoa MO ni ndogo sana......ndio maana Mungu katupa RAIS KIBURI atunyoooshe!!!
0 comments:
Post a Comment