mwanazuoni

MAN U YACHUKUA NGAO YA JAMII

Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akiruka juu kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 83 dhidi ya mabingwa wa England, Leicester City katika mchezo wa Ngao ya Jamii kuashiria kupenuliwa kwa pazia la msimu mpya jioni ya Jana Uwanja wa Wembley, London. Man United imeshinda 2-1, baada ya Jesse Lingard kuanza kufunga dakika ya 32, kabla ya Jamie Vardy kuisawazishia Leicester dakika ya 32 kwa pasi boko ya Marouane Fellaini na Ibrahimovic kupiga la ushindi.


Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment