Ahadi za Rais wa Awamu ya Tano Nchini Tanzania zimekuwa zikipokelewa Kwa Mitazamo Tofauti . Huku watumishi WA Umma wakisubiri kuona Maslahi yao yakiboreshwa Kwani Rais ametimiza Mwaka Mmoja sass huku watumishi hao bado awajui hatma ya maslahi yao.
Hongera Rais kwa Kutimiza Mwaka Ninja.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment