mbunge wa Jimbo la Kibiti Mhe: Ungando amweze kutoa Msaada WA vifaa vya kufanyia mitihan ya kidato cha nne shule zilizopo JIMBO kwake.
Mbunge wa jimbo la kibiti MH. UNGANDO ametoa chakula , na vifaa vya kufanyia mtihani kama vile peni , penseli , rula kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha nne wa 2016.
Jambo hili limefanywa kati shule zifuatazo ambazo ni
Zimbwini sec school
Mtanga sec school
Ruaruke sec school
Nyamisati sec school
Masafiri sec school
Mahege sec school
Kikale sec school
Wama sec school
Mchukwi sec school
Mlanzi sec school
Mjawa sec school
Picha hizo juu Ni miongoni mwa wanafunzi waliofaidika na mchango huo Wa Mbunge wa Jimbo la Kibiti.
Habari kwa Hisani ya Mjumbe Mtuliyakwako Mohammed
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment