Diwani Wa Kata ya Msasani Mhe: Benjamin Sitta ameibuka kuwa Mshindi Wa Kiti Cha Umeya baada ya Kupata Kura 18 dhidi ya Mshindani wake aliyepata Kura 0. Baada ya kususia Uchaguzi. Hivyo Manispaa ya KINONDONI ipo chini ya Chama Cha Mapinduzi.
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment