Simba Sc walipata goli Lao la kwanza katika kipindi cha dakika ya 42 kupitia kwa mchezaji wao Mzamiru Yasini. Mpaka kufika Mapumziko Simba Sc 1 - 0 Toto AFRICA.
Dakika za Mwanzoni mwa kipindi cha Pili Mavugo Dakika ya 57 anaifungia Simba bao la Pili, Dakika ya 74 Mzamiru Yasini anaifungia tena Bao la 3 na La Ushindi. Hivyo Mpira Umeisha kwa Matokeo Simba Sc 3 - 0 Toto Africa.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment