mwanazuoni

Jiwe lenye amri 10 za Mungu lauzwa Marekani

Jiwe la kale zaidi lenye amri kumi za Mungu limeuzwa kwenye mnada nchini Marekani kwa dola 850,000.
Jiwe hilo ambalo lina urefu wa sentimita 60 limeandikwa kwa lugha ya kiyahudi
Liliuzwa katika soko la mnada huko Los Angeles, kwa masharti kuwa litawekwa kwa umma kuliona.
Jiwe hilo liligunduliwa mwaka 1913, wakati wa ujenzi wa reli karibu na mji wa Yavneh ulio nchini Israel.








Wauzaji wanasema kuwa jiwe hilo ni la kutoka miaka ya 300 na 500 AD.
Amri ambayo haionekani kwenye jiwe hilo ua "Usitumia jina la Mungu kwa njia isiyostahili" sasa pameandikwa kwa kutoa wito kwa waumini wa Samaria wakitakiwa kujengwa kwa hekalu katika mlima Gerizim, eneo takatifu juu ya mji wa Nablus, ambayo ndio sasa Ukingo wa Magharibi.bbc
Jamii ya Samaria ina historia ndefu eneo la Mashariki ya Kati, licha watu hao kutoweka hadi chini ya watu 1000 miaka ya hivi karibuni.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment