Jana Maendeleo fc ilicheza na Silabu kwenye michuano ya Chuachua Cup katika kiwanja cha Bomani Masasi.
Matokeo
Maendeleo 0 - 1 Silabu
Timu ya Maendeleo imefungwa mechi ya pili mfululizo . Mechi ya kwanza ilifungwa Bao 3 .
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)




Mtani
0 comments:
Post a Comment