Kutoka Mtwara Tanzania,mtoa taarifa wetu anasema tayari Katibu mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad amewasili Mkoani humo na kupokelewa na viongozi mbali mbali wa chama Taifa.
Mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege kwa kutumia ndege ya shirika la Pression Air nje ya uwanja viongozi wengi wameonekana huku hali ya ulinzi ikiimarika zaidi kupitia walinzi wa chama hicho . tunafuatilia kwa karibu sana ziara hii kuwaletea kila kinachojiri.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)




Mtani
0 comments:
Post a Comment