Jana ikiwa ni tarehe 26.11.2016 ni siku ya kufanya Usafi kwa kutekeleza agizo la Rais wetu. Kundi linalojumuhisha Vijana na wadau Wa maendeleo wanatokana na Asili ya RUFIJI na KIBITI walifanya ziara ya kwenda kufanya usafi katika Hospitali ya Utete Pamoja na kufanya Tamasha kubwa kwa kuchangia likijumuisha michezo mbali mbali kama vile: Mpira Wa miguu, Kukimbia na Magunia, kukukimbiza kuku kwa wazee na michezo mingine mbali mbali lakini wakati matukio yote yanafanyika pia liliendeshwa zoezi la kuchangia damu na kutoa msaada na vitu mbali mbali kwa wagonjwa waliokuwepo siku hiyo ya hospitalini hapo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)













Mtani
0 comments:
Post a Comment