Jana kwenye Mahafari ya 26 Ya kituo cha kulea watoto Kielimu cha Migongo Mission. Walimwarika Mbunge Wa Jimbo la Masasi Mhe: Dr Rashid Chuachua kuwa mgeni rasmi lakini kutokana na Mbunge kuwa kwenye Mahafari ya chuo cha Dodoma kinachojulikana kwa jina Maarufu UDOM alipokuwa nae anatunukiwa PhD yake naye kwa sasa anatambulika kwa jina la Dr Rashid Chuachua na sio Rashid Chuachua. Kutokana na Udhuru hiyo ilibidi atume mwarikilishi wake Ambaye ni Naibu Katibu wilaya ya Masasi kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndugu Ajali Musa Mpataga.
Kwenye Risala yao wahitimu waliorodhesha changamoto mbali mbali hivyo mgeni rasm aliyemwakilisha Mbunge alisema " Mgeni rasmi anaungana nanyi katika kutafuta njia za kuondoa changamoto hizo.... Aliendea kusema " hatua kwa hatua atashirikiana nanyi ili kutatua changamoto hizo , kwa ushauri na kwa namna yoyote ile. Msisite kumuita kwa jambo lolote na isiwe mpaka mahafari ti "
Home / elimu /
habari /
matukio
/ MBUNGE WA JIMBO LA MASASI MHE: DR RASHID CHUACHUA AWA TAYARI HATUA KWA HATUA KUONDOA CHANGAMOTO ZA ELIMU.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)












Mtani
0 comments:
Post a Comment