Baadhi ya Mashabiki na wadau wa soka walivyojitokeza katika Uzinduzi huu wakifatilia kwa makini matukio mbali mbali.
Mgeni Rasmi Ndugu HALFAN MATIPULA mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Masasi. Akizungumza na vijana na wadau wa soka waliojitokeza katika Uwanja. Pia akitoa salam kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Masasi Mhe: DR Rashid Chuachua
Marefa wakikabidhiana majukumu kabla ya kuanza kwa mechi
Viongozi mbalimbali waliodhuria Uzinduzi Huo. kutoka kulia aliyevaa Suti ni Diwani wa Kata ya Nyasa mhe: Kodo, Diwani wa Mkuti mhe: Machuma, Diwani wa Jida mhe: Mbwana, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masasi Mhe: Mzee Kazumari Malilo , Mwenyekiti wa Tff wilaya ya Masasi na wa mwisho ni mgeni rasmi ndugu Halfan Matipula Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Masasi.
Mgeni Rasmi Ndugu H. Matipila
Diwani mdogo kuliko wote Ndugu Juma Polle akiwasalimia wadau wa soka
Wachezaji wa Timu ya Maendeleo
Wadau wa Soka wakifatilia mchezo
Mgeni rasmi kwenye Tabasamu zito
Diwani Juma Polle na Mwanazuoni
Mwanadiplomasia Ramadhan Yunusi akifatilia mchezo
Goli la Kwanza walilofungwa timu ya Maendeleo
Wageni na Viongozi wakisalimiana na wachezaji
Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Masasi akitoa Maelezo juu ya matukio yanayoendelea
Diwani wa Mkuti akitoa Neno kwa Wadau wa Soka na akiwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi
Wachezaji wa Timu ya Maendeleo
Diwani
Mshabiki wa Timu ya Maendeleo akilia baada ya kufangwa
Mwenyekiti wa CCM wilaya akiongea na Marefa wakiwahasa wachezeshe mpira kwa kufata kanuni na taratibu za soka.































Mtani
0 comments:
Post a Comment