
PONGEZI ZANGU KWA MBUNGE WANGU WA JIMBO LA MASASI.
Napenda kuchukua nafasi Hii adhimu kutoa Shukran zangu za dhati kwa mbunge wa Jimbo la Masasi kwa kuweza kufikiria na kuwa mbunifu kwa ajili ya kuhakikisha analeta Maendeleo katika Jimbo lake kwa manufaa ya jamii nzima Bila kujali itikadi ya vyama, dini, rangi wala kabila.
Kilichonifanya nitoe Shukran kwa Mbunge kwa kitendo chake na kwa Moyo wake Kuanzisha ligi inayojumuhisha WANAWAKE. Hongera Sana kwa ili Mbunge Wangu.
Wanawake wanahitaji Support Kubwa Sana Kutoka kwako Mbunge, kwa kitendo chako cha Kiungwana cha kuwajumuisha katika CHUACHUA CUP nimefarijika Sana tena Sana.
Nimalize kwa kusema Hakuna Maendeleo BILA NGUVU YA MWANAMKE.
TUKUTANE LEO KWENYE UZINDUZI WA CHUACHUA CUP
Mshana Junior
12.11.2016
Masasi.
Mtani
0 comments:
Post a Comment