Huo
ulikuwa mchezo wa pili wa kirafiki wa Simba katika kambi yake Afrika
Kusini kujiandaa na msimu, baada ya Jumamosi kufungwa 1-0 Orlando
Pirates.
Baada
ya mchezo huo, Simba SC inatarajiwa kurejea nyumbani Tanzania kwa ajili
ya mchezo mwingine wa kujipima nguvu dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda
Agosti 8, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment