Assalam alaykum. Ndugu zangu wapenda pole kwa majumu mazito ya kujenga taifa letu lakin awali ya wote napenda siku ya leo kutoa ukumbusho, kwani ipo siku itarazimu turudi kwa aliye muumba ' Allah' (s.w).
Ukumbusho:
Mambo 3 Fanya Kwa Kufikiria Sana.
1. MAPENZI
2. MAONGEZI
3. MAAMUZI
Vitu 3 Havimngoji Mtu.
1. MAUTI
2. WAKATI
3. UMRI
Mambo 3 Usiyaone Mepesi.
1. DENI
2. MAJUKUMU
3. MARADHI
Mambo 3 Usipoyafanya Ujue ni Motoni
1 SWALA
2 SWAUMU
3 ZAKAT
Mambo 3 Yafikiri Kila Mara
1 ALLAH
2 KIYAMA
3 SADAKAT JARIA INSHALL
Ichunge Misingi 6 ya Mafanikio:
(1)Usimchukie Yoyote Hata Kama Atakukosea Vipi.
(2)Ishi Maisha ya kawaida Hata Kama Upo Juu kwa Kiasi Kikubwa.
(3)Tarajia Kheri Hata Kama Mitihani ya maisha Inakusakama.
(4)Toa Kwa Wingi Hata Kama Wewe Umenyimwa.
(5)Onesha Tabasam Hata Kama Moyo Unavuja Damu.
(6)Usiache Kumuombea kila mtu.
Hata kama hakuhusu. Uislam ni vitendo na sio mavazi. Jee! ni waislam wangapi wanamisingi hii? Allah atujaalie tuwe miongonimwao wenye micngi mizur.
Sub-hana LLAH
Al-hamduli LLAH Wa Laila-Haila LLAH Allahu Akbar.
Hakuna dua yenye uzito mbele ya M/Mungu kuliko hii. Jitahidi kutuma kwa ndugu zako waislamu utapata fungu kwa allah (sw)
"AYATUL QURSIYYU" UKIISOMA WAKATI UNAPOTOKA NYUMBANI KWAKO MALAIKA 70,000 WANAKULINDA KILA PEMBE!! NA UKIISOMA UNAPOINGIA NYUMBANI KWAKO UMASKINI HAUTAINGIA KWENYE NYUMBA YAKO!! NA UKIISOMA WAKATI WA KULALA MALAIKA 1 ATAKULINDA MPK UAMKAPO!! NA UKIISOMA BADA YA UDHU INAKUINUA DARJA YAKO!! NA UKIISOMA KILA BAADA YA SWALA INSHA'ALLAH ITAKUINGIZA PEPONI!! NA UKIMTUMIA MTU NA AKAIFANYIA KAZI KAMA ITAKIWAVYO BASI HIYO ITAKUWA SWADAKATUL JAARIYA YAKO.
LAA ILAHA ILAH LLAH.MUHAMADUR. RASULALLAH.. Tafadhali tuma Kalma hii kwa watu .12. Baada ya masaa 12,khatma yako kifedha itaongezeka mara 100..USIPUUZE
Ukumbusho! Uckose kufunga japo cku 1 ktk mwezi wa rajab kwani mtume (s.a.w) alipita kwenye makaburi pamoja na swahaba zake walickia watu wanapiga kelele kwa adhabu za kaburini bac mtume akasema laiti wangefunga japo cku 1 ktk mwezi wa rajab zisingewapata adhabu walizonazo. Funga ili usamehewe dhambi uepukane na adhabu. Wakumbushe na wengine.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Nawatakia maandalize mema kueleka kwa aliye muweza wa yote katika dunia hii. kwan hakuna aliye juu yake na dunia tunapita kwa ushahidi wa hilo jiulize wangapi ulikuwa nao leo hawapo ?
ReplyDelete