mwanazuoni

CHADEMA NA UMWAGAJI DAMU

CHADEMA NA UMWAGAJI DAMU

Kiukweli Naipenda sana Chadema…Maana Inafaa Kuendelea kuwa Chama cha Upinzani hapa Tanzania.Chadema Inajitahidi sana Kuikosoa Serikali ila Tatizo lao ni Kuhamasisha Fujo, Vuruguu na Maandamano yasio na Msingi.Lakini Umwagikaji Huu wa DAMU za Watanzania Unaosababishwa na Chadema Umenifanya Nikitilie Mashaka Chama Hiki....
Hebu Tafakari Maswali haya kwa Kina:

1. Kwanini Mikutano Mingi ya Chadema Lazima Damu za Watanzania za WImwagike?

2. Lakini pia Kwa nini Chadema Inaongoza kwa Kumwaga Damu, Kuwauwa Wafuasi wake?

3. Kwanini Dr Slaa Zaidi ya Mara Moja Amekuwa Akisisitiza Nchi Hii Haitatawalika?

4. Kwa nini Kauli Mbiu ya Chadema, Nguvu ya Umma (People’s Power) Imekuwa Chachu ya Fujo, Migogoro na Maandamano yasio na Msingi??

5. Je Kweli Chadema ni Mshirika wa Freemanson??

6. Je Kutapakaa kwa Rangi Nyekundu Katika Bendera ya Chadema Kuna Ashiria nini kwa Mustakabali wa Taifa Letu??

UFAFANUZI

Mikutano Mingi ya Hadhara ya Chadema Huambatana na Ugomvi, Wanachadema wenyewe Kupigana Ngumi, Kulushiana Mawe na Hata Kupasuana kwa Vyupa.Hii Husababisha Damu nyingi za Wafuasi wa Chadema Kumwagika na Kupoza Maisha.Mpaka sasa

ni Watu wengi sana waliopoteza Maisha na wengine Kupata Ulemavu wa Maisha Kutokana na Fujo katika Mikutano ya Chadema. Nina Wasiwasi ya Kwamba Chadema Hupata Umaarufu Zaidi pale Damu za Watu Zinapomwagika kwa Wingi……!

Kuhudhuria Mikutano ya Chadema ni Hatari sana sawa na Kuzama kwa Meli Maana Wakati wowote Unaweza Kupoteza Maisha…

Chadema ni Chama cha Siasa Kinachoongoza Kuwateka, Kuwapiga Kinyama na hata Kuwauwa Baadhi ya Wafuasi wake.Mfano

ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke,Alietekwa na Kupigwa Kinyama na Watu waliosadikiwa wametumwa na Viongozi

wa Chadema.Pia Viongozi Mbalimbali wa Chadema Mfano:Hayati Chacha Wangwe Inasadikiwa Ameuwawa na Viongozi wa

Chadema

Dr Wilbroad Slaa, Katibu Mkuu wa Chadema Amekuwa Akisisitiza Zaidi ya Mara Moja Kwamba Nchi Hii, Tanzania

Haitatawalika.Hii ni Dhahili ya Kwamba Chadema Itaendelea Kuleta Fujo, Maandamano na Kila Aina ya UCHOCHEZI Ili

Kuhakikisha Nchi Hii Haitawaliki. Lakini pia Endapo Chadema Watapewa Ridhaa ya Kuiongoza Nchi Hii Basi wao

Watahakikisha Nchi Hii Inaingia kwenye Vita ya Wenyewe kwa wenyewe ili Kufanikisha Dhima yao ya Kutotawalika kwa

Tanzania.

Ifahamike ya Kwamba, Hakuna Nchi Duniani Ambapo Nguvu ya Umma Ilitumika nchi Hiyo Ikabaki Salama.Matumizi ya Nguvu

ya Umma ya Mara kwa Mara ni Ishara tosha ya Chadema Kuchochea Vita Kati ya Wananchi na Serikali yao…Kati ya

Wananchi na Viongozi wa Serikali.Nchi Nyingi Duniani kama Syria, Misri, Mali na hata Kenya…Matumzi ya Nguvu ya

Umma yamechochea Umwagaji damu Usio na Kifani. Hivyo Chadema Ina Stastahili Kubeba Lawana kwa Kila Tone la Damu la

Mtanzania Lililomwagika Kutokana na Uchochezi wa Chama Hicho.

Ni Swala Lisilokwepeka ya Kwamba Chadema ni Chama Pekee cha Siasa Hapa Tanznaia ambacho ni Chachu ya Kupoteza

Maisha kwa Watanzania Walio wengi.Kuwa Mfuasi wa Chadema Pekee Umejiongezea Risk ya Kufa Wakati wowote.

Lazima Tukitilie Shaka Chadema juu ya Ushirika Wake na Freemanson. Maana Umwagikaji Huu wa Damu Kwenye Mikutano ya

Hadhara ya Chadema na Watu Kufa Bila ya Sababu za Msingi Kwenye Maandamano Yasio na Vibali ni Ishara Tosha

Kukitilia Mashaka Chama Hiki.

Mimi Nafikiri Chadema Lazima Watafakari Upya Juu ya Rangi za Bendera ya Chama Chao.Nafikiri Umwagikaji Huu wa Damu

za Wafuasi wa Chadema Wasio na Hatia Kunatokana na Ushawishi wa Rangi za Chama Hicho…

Rangi Nzuri ni, Kijani na Njano (CCM) Maana ni Mali Asili na Rasilimali Zetu…….


Kidumu Chama cha Mapinduzi….
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment