ZITTO KABWE ATENGENEZA HISTORIA MPYA YA TANZANIA
Baada ya kuondoka Bungeni Zitto Zuberi Kabwe afanya kazi ya kuijenga Tanzania mpya na serikali mpya yenye kuwatetea wanyonge na maskini wa nchi ya Tanzania kwa kuweneza uzalendo. ACT WAZALENDO chini ya kiongozi mkuu Zitto Kabwe watarajia kufanya Mkutano wa hadhara siku ya 4/07/2015 katika viwanja vya Mwembe Yanga ila kubwa zaidi ya yote ni kuwataja mafisadi walioficha Fedha USWIZI hivyo basi wazalendo wote mnatakiwa kuudhuria hili kuwajua mafisadi wa nchi yako.
0 comments:
Post a Comment