mwanazuoni

MKUTANO WA MBUNGE DR CHUACHUA NDANI YA KATA YA MKUTI

DR Chuachua mbunge wa Masasi akiongea na wananchi wa kata ya Mkuti katika mkutano wake wa kwanza na wananchi hao. Baada ya Mkutano Kuisha nitaweka alichosema pamoja na video ya mkutano huo , hivyo ndugu mdau wetu tunaomba endelea kutembelea blog hii.




Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment