Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Masasi F.D.C Cha fanya ziara katika Wilaya Newala kwa lengo na kujenga ushirikiano miongoni mwa Vyou hivyo vya Maendeleo ya Wananchi Kanda ya Kusini. Baadhi ni picha za matukio ya ziara hiyo.
|
Madereva wakiwa wamepomzika katika viwanja vya Halmashauri ya Newala |
|
Watumishi wa Masasi FDC |
|
Wanachuo wa Masasi FDC |
|
Wanachuo wakisikiliza Maelezo kutoka kwa afisa Utamaduni wilaya ya Newala kuhusu Boma la Wajerumani |
|
Boma la Wajerumani Newala |
|
Mr Songa akiwapa maelekezo wanachuo kabla kuingia ndani ya Boma |
|
watumishi wa Masasi FDC na Newala |
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment