Mashabiki wa klabu ya ESKISEHIRSPOR ya nchini uturuki wameamua
kuuchoma moto uwanja wa timu yao hiyo baada ya kuchapwa goli 2-1 na
Medipol Basaksehir ,matokeo yaliyosababisha timu hiyo kushuka daraja.
Timu hiyo ilipanga kuachana na uwanja huo unaoitwa Eskisehir Ataturk
na kuhamia uwanja mpya walioujenga ambao unakadiliwa kuingiza mashabiki
elfu 33.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment