MBUNGE WA JIMBO LA MASASI ATANGULIZA SHUKRANI KWA KUKARIBIA KUTIMIZA NDOTO YAKE
Wapendwa Wangu wote...Leo nathubutu kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kuniwezesha kuikaribia 25/11/2016 siku ambayo Mamlaka ya Chuo Kikuu cha Dodoma itanitunuku Shahada ya Udaktari wa Falsafa katika Lugha. Nawashukuru wasimamizi Wangu Prof. Mulokozi, Prof. Madumulla, Prof. Senkoro. Wengine ni Prof. Sengo, Prof. Nyoni, Prof. Ame, Dkt. Athumani Ponera, na wengine wengi. Nawashukuru Mkewangu Saidath Kwa msada na uvumilivu Wakati WA Masomo yangu. Mwanangu Fauzia Chuachua, Ikra Sopora Chuachua, Namanche Sopora Chuachua... Mungu awabariki wote... Nawashukuru Kwa maombi na dua Zenu. Ni Mimi Dkt. Rashid Mkuwele Chuachua (mtarajiwa).
0 comments:
Post a Comment