Mwanzilishi na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya watoa huduma
ya mafuta na gesi nchini Abdulsamad Abdulrahim akifafanua jambo kwa waandishi
wa habari (hawapo pichani) kuhusu fursa mbalimbali zilizopo katika ujenzi wa
bomba la mafuta ghafi toka Tanzania hadi Uganda, kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi
ya sekta binafsi Dkt. Godfrey Simbeye na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
ya Nishati na Madini Mhandisi Juliana Pallangyo.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Dkt. Juliana Pallangyo
(kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) fursa mbalimbali zilizopo katika ujenzi wa
bomba la mafuta ghafi toka Tanzania hadi Uganda, katikati ni Mwanzilishi na
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi watoa huduma ya mafuta na gesi nchini Abdulsamad
Abdulrahim na kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya sekta binafsi Dkt. Godfrey
Simbeye.
Mkurugenzi wa Taasisi ya sekta binafsi Dkt. Godfrey Simbeye akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu fursa mbalimbali zilizopo katika ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Tanzania hadi Uganda, kulia ni Mwanzilishi na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi watoa huduma ya mafuta na gesi nchini Abdulsamad Abdulrahim na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Dkt. Juliana Pallangyo.
Mkurugenzi wa mifuko ya Uwezeshaji toka Baraza la Uwezeshaji
Wananchi Kiuchumi Bw. Edwin Chrissant akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) fursa zilizopo za uwekezaji kupitia mifuko ya hifadhi, katikati ni Mwanzilishi
na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi watoa huduma ya mafuta na gesi nchini
Abdulsamad Abdulrahim na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini Mhandisi Dkt. Juliana Pallangyo.
0 comments:
Post a Comment