Scout Wilaya ya Masasi wamejiwekea ratiba ya kufanya mazoezi kila siku ya Jumamosi saa 12:30 katika Uwanja wa Bomani Wilayani Masasi. Mazoezi hayo uendeshwa na Kamishna wa Wilaya Ndugu Cprian Ally Ndaka akiwa na Makamishna wengine wa ngazi ya shule na Vyuo viliyopo Masasi ambao ni wanachama wa Scout. Hivyo Mazoezi hayo ni endelevu kwa Mujibu wa Kamishina wa Wilaya ya Masasi.
Pia Kamshina amesema kuwa mazoezi hayo yatakuwa na ratiba kikata hivyo Kata zote zilizopo Mjini ndizo zitakuwa zinafanya mazoezi katika Uwanja wa Bomani. Ila Temeke na Kata nyingine nazo zina maeneo ya kufanya mazoezi kwa kila siku ya Jumamosi.
Kamishina wa Wilaya Ndugu CYPRIAN ALLY NDAKA akiwa na Kikosi kazi chake cha Scout |
Kmashina akitoa Maekezo mbali mbali kwa scout.
Scout wakiendelea na Mazoezi ya kuweka viungo sawa kwa ajili ya afya
Picha ya Pamoja ya Scout Wote Pamoja na Makashina wa Shule.
Picha ya Pamoja ya Scout Wote Pamoja na Makashina wa Shule.
Kwa Habari nyingi zinazohusu Scout Wilaya ya Masasi basi wewe tembelea Blog yetu utazipata na uhakika. Mshana Junior
Kazi mzuri sana mhariri wetu naomba utupatie nafasi kubwa katika kuitangaza skauti masasi
ReplyDeleteHakuna Shida Kamshina Cprian Ndaka kila kitu kitakuwa sawa kwenye ili suala lazima Taifa na wanajamii wajue nini kinaendelea kuhusiana na Scout wilaya ya Masasi
Delete