mwanazuoni

SCOUT WILAYA YA MASASI YAPAMBA MOTO


Scout Wilaya ya Masasi wamejiwekea ratiba ya kufanya mazoezi kila siku ya Jumamosi saa 12:30 katika Uwanja wa Bomani Wilayani Masasi. Mazoezi hayo uendeshwa na Kamishna wa Wilaya Ndugu Cprian Ally Ndaka akiwa na Makamishna wengine wa ngazi ya shule na Vyuo viliyopo Masasi ambao ni wanachama wa Scout. Hivyo Mazoezi hayo ni endelevu kwa Mujibu wa Kamishina wa Wilaya ya Masasi.

Pia Kamshina amesema kuwa mazoezi hayo yatakuwa na ratiba kikata hivyo Kata zote zilizopo Mjini ndizo zitakuwa zinafanya mazoezi katika Uwanja wa Bomani. Ila Temeke na Kata nyingine nazo zina maeneo ya kufanya mazoezi kwa kila siku ya Jumamosi.


 Kamishina wa Wilaya Ndugu CYPRIAN ALLY NDAKA akiwa na Kikosi kazi chake cha Scout
Kmashina akitoa Maekezo mbali mbali kwa scout.

Scout wakiendelea na Mazoezi ya kuweka viungo sawa kwa ajili ya afya
Kamshina CYPRIAN ALL NDAKA akitoa Mafunzo kwa Scout Kuhusu Kujifunza kwa bidii na wawe na utofauti mashule kati ya scout na wanafunzi wa kawaida kwani scout wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika masomo yao na kuongoza. Pia amewahasa kuwa na vikundi vya kujadili kuhusiana na masomo ( Group Discussion) 

Picha ya Pamoja ya Scout Wote Pamoja na Makashina wa Shule.

Kwa Habari nyingi zinazohusu Scout Wilaya ya Masasi basi wewe tembelea Blog yetu utazipata na uhakika. Mshana Junior
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. Kazi mzuri sana mhariri wetu naomba utupatie nafasi kubwa katika kuitangaza skauti masasi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna Shida Kamshina Cprian Ndaka kila kitu kitakuwa sawa kwenye ili suala lazima Taifa na wanajamii wajue nini kinaendelea kuhusiana na Scout wilaya ya Masasi

      Delete