DIAMOND AFANYA MAAJABU LONDON
Huyu ndiye msanii ambaye amebaki nchini Tanzania mwenye uwezo wa kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa kizazi kipya. Pia ni asali ya mabinti kwani anapokuwa anafanya show yake, mabinti huwa wanachenguka zaidi kuliko wanaume. kwa kudhihilisha ilo alifanya maajabu kwa mabinti waishio mjini London nchini Uingereza pale walipokuwa wanashindana kukata kiuno mbele yake tena kwa ustadi mkubwa kupita ule wa chumbani.
0 comments:
Post a Comment