Mtoto Devotha Gerald (4) aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu
Samson Bwire Amefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa
maisha yake kushindikana...
Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye naye alipigwa vibaya na wananchi wenye hasira yuko mikononi mwa jeshi la polisi....
Tendo hili lilitokea mkoani Shinyanga.
R. I . P
0 comments:
Post a Comment