mwanazuoni

KINACHOENDELEA MOROGORO KATIKA MSIBA WA MANGWEAH MUDA HUU







 Hizi ni  baadhi ya picha za maandalizi ya kuaga mwili wa marehemu Albert Mangweah katika kiwanja cha Jamhuri mkoani  Morogoro. Tutakuwa tunawajuza kila kinachoendelea ndani ya viwanja hivyo, kwani waandishi wetu wapo tayari kwa ajili ya kuwapa matukio yanayoendelea viwanjani hapo.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment