Kocha wa Manchester city amehakikisha kukosa kwa mshambuliaji wake Kun Aguero katika mechi ya ligi ya Mabingwa dhidi ya Barcelona. Mshambuliaji huyo hatakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 8.
Aliendelea kusema kuwa " sifahamu ni muda gani itachukua lakini naamini yaweza kuwa mwezi mmoja. Ni vigumu sana kujua ni muda gani ili tatizo litakwisha.
Mechi hiyo ya Manchester city na Barcelona itachezwa tarehe 18 Febuari.
0 comments:
Post a Comment