Kazi ya kuwa mchumi katika taasisi yote ile si kazi dogo na inayohitaji umakini wa hali ya juu. Hivyo kuongoza taasisi kubwa kwa nafasi ya Katibu uchumi si kazi ya kubezwa na mtu yoyote. Leo katika blog yetu ya Mshana Junior inakukutanisha na kijana Mohammed Mtuliakwako ambaye ameweza kushika nafasi ya Katibu Uchumi akiwa na umri mdogo kuliko wachumi wengi hapa kwetu Tanzania kwa utafiti uliofanywa na blogger wa blog hii.
Kijana huyu amekuwa mchumi wa tawi la Chama Cha Mapinduzi MUM. Pia amekuwa mchumi wa Chama Cha Wanafunzi wa Kiswahili Afrika Mashiriki (CHAWAKAMA) katika makao makuu ya chama hicho mkoani Morogoro katika Chuo Kikuu Cha Waislam Morogoro. Vile vile amekuwa mchumi katika taasisi mbalimbali.
|
Mchumi Mtulykwaku akiwa anawajibika |
|
Mtulykwaku aliyevaa kofia akiwa na Ndugu C .Ngubiagai Katibu wa vyuo vikuu ccm |
|
Mchumi Mtulykwaku akiwa na makada wengine wa CCM
|
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment