DUNIA INAELEKEA WAPI, TAZAMA PICHA HIZI
Suala la kushuka hama kuporomoka kwa maadili limekuwa la kawaida kwani kila siku maadili yanazidi kuporomoka sasa sijui ni kwa nini na nani hasa anapaswa kulaumiwa? Kila kunapokucha matukio ya kushuka kwa maadili yanashika kasi katika jamii zinazotuzunguka. Serikali na vyombo vyote vya dini vinatakiwa kuchukua hatua za haraka katika kuahikikisha wanakomesha vitendo hizi ambavyo ni hatari kwa ustawi wa maadili yetu ya kiafrika.
0 comments:
Post a Comment