mwanazuoni

MEYA WA KINONDONI KUKAMATWA KWA KIBALI CHA MAHAKAMA

Boniface Jacob

Mei 2 2016 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetoa maamuzi ambayo yameingia kwenye headlines, baada ya kuamua kutoa hati ya kutaka mikono ya sheria imkamate meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutokana na kushindwa kufika mahakamani.
Boniface Jacob anatuhumiwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru Christopher Lissa na kumsababishia maumivu makali, hiyo ni kwa mujibu wa habari ambazo millarardayo.com imezipata lakini inaendelea kuzifuatilia kwa kina na kuweza kumpata meya huyo wa Kinondoni.
Chanzo: ISSA MICHUZI
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment