Mhe Mbunge wa Rufiji Ndugu M. Mchengerwa wa kati mwenye shati la Njano |
Ndugu M. Mchengerwa mbunge wa Rufiji na Mwenyekiti wa bunge wa kamati ya Sheria na katiba. Hivi karibuni amechaguliwa na wabunge wenzie kuwa Mwenyekiti wa wabunge Waislamu wa Chama Cha Mapinduzi na Ukawa. Hongera sana kwa wabunge kukuamini na kukuchagua kuwa kiongozi wao ni heshima kwa wanarufiji na watanzania kwa ujumla.
Taarifa hii imeripotiwa na Mtulyakwaku Mjumbe Jr.
0 comments:
Post a Comment