mwanazuoni

Mazishi ya Muhammad Ali

Amir Khan

Bondia wa Uingereza Amir Khan ambaye alikutana na Muhammed Ali mara mbili anasema kuwa Ali alikuwa kielelezo chake.Ali alikuwa na pande nyingi lakini unapoangalia mafanikio yake katika ndondi kwa kweli ni makubwa mno,alisema.
19.18pm:Watu wamejipanga kandokando ya barabara huku msafara wa gari lililobeba mwili wa Ali ukiendelea kupita katika maeneo muhimu ya Ali wakati wa maisha yake huku baadhi ya mashabiki wake wakimsifu Ali! Ali !
19.16pm: Ibada ya mazishi itafanyka huko katika uwanja wa michezo wa Louisville
19.04pm:Muhammad Ali alikuwa hanunuliki,hauziki wale kutishwa.Ni msimamo wake ndio uliomleta karibu na wanaharakati wa haki za kibinaadamu nchini Marekani.
Watu waliojitokeza kandokando ya barabara kuupa buriani msafara uliobeba mwili wa Muhammad Ali

18.32pm:Kushindwa kwa rais wa Uturuki Tayyip Erdogan kuhudhuria mazishi ya Muhammad Ali licha ya kufunga safari nchini Marekani kuhudhuria kumeangaziwa na magaeti mengi ya Uturuki.

18.30pm:Kwa sasa msafara umefika katika eneo la Boulevard

18.18pm:Kuwepo kwa maelfu ya watu katika mazishi ya Muhhamad Ali wakiwemo viongozi kutoka mataifa tofaut duniani kunaonyesha atahrai yake duniani kama shujaa.Ali alipigana katika mataifa 12 tofauti katika kipindi chake chote za masumbwi pamoja na kuhudu kama mwanaharakati wa haki za kibinaadamu.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment