mwanazuoni

Al shabab washambulia makao ya polisi Mogadishu


Ripoti zinasema kuwa kumetokea shambulizi katika makao makuu ya polisi kwenye mji mkuu wa Somalia Mogadishu.
Ripoti moja ilisema kwa mshambuliaji wa kujitolea mhanga, alivurumisha gari lake kwenda kwa milango ya jengo la idara ya ujasusi mjini humo.
Kisha wapiganaji wanaripotiwa kuvamia baadaye. Kundi la wanamgambo la al-shabab linadai kuwa ndilo lilitekeleza shambulizi hilo.bbc
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment