Klabu ya Arsenal imepata pigo baada ya nyota wake Per Mertesacker kuripotiwa kuwa atakaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 5 akisumbuliwa na maumivu ya jeraha la goti.
Beki huyo sasa ameondolewa kwenye msafara wa kikosi kitakachokuwa ziarani nchini Marekani kujiandaa na msimu mpya wa #epl utakaoanza mwezi ujao.
Kwa mantiki hiyo inapotiwa kuwa nyota huyo atakaa nje ya dimba hadi mwaka mpya.

Mtani
0 comments:
Post a Comment