mwanazuoni

HOSPITALI YA WILAYA YAKABILIWA NA UHABA WA MAGODORO

Serikali ya Awamo ya Tano ya Tanzania ni Serikali ya Hapa Kazi. Yenye muono juu ya Uchumi wa Kati itakayotupelekea kwenye Uchumi wa Viwanda.

Lakini hali ya Huduma za Afya katika baadhi ya Maeneo yana Changamoto mbalimbali ikiwemo na uhaba wa vifaa mbalimbali muhimu kama vile upungufu wa madawa  muhimu, mashuka, vitanda na hata magodoro. Hali ambayo inawalazimu wakati mwingine wagonjwa kulala kwenye mazingira magumu. Pichani hapa chini ni Miongoni mwa Hodi za Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo iliyopo kwenye Halmashauri ya wilaya Masasi.

Wadau wa Sekta ya Afya Tushirikiane katika kuondoa Changamoto hizi ili tufikie kwenye Malengo ya Serikali yetu.

 Hali ya Magodoro kwa baadhi ya Vitanda kama Inavyoonekana pichani Hapo.
 Vitanda vingine vimekosa kabisa hata hayo magodoro kama picha inavyoonyesha. 

Picha hizi zimepatiakana kwenye wodi 1B kwa hisani ya wadau wa Maendeleo katika sekta ya afya.
kwa habari mbalimbali pakua APP yetu ya Mwanazuoni kupitia PLAY STORE.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment