Man United walionekana kuanza kuamini kupata ushindi kwenye mchezo huo na
kusogelea nafasi juu nne za juu baada ya Jesse Lingard kupachika bao
dakika ya 61 na kuanza kujenge mazingira ya kushinda mchezo wa tatu
mfululizo kwenye mechi za mashindano yote.
Mwisho wa Mchezo huo timu zote mbili zilitoka zikiwa na nguvu sawa baada ya kulazimishana Ushindi wa 1-1.CHELSEA YALAZIMISHA SARE KWA MAN U
Diego Costa ameiokoa Chelsea kupokea kipigo baada ya kupiga bao la
kusawazisha dhidi ya Manchester United na kuendeleza rekodi ya kocha wa
muda wa Guus Hiddink ya kutofungwa mechi tisa tangu alipochukua majukumu
ya kuinoa Chelsea.
0 comments:
Post a Comment