mwanazuoni

Madaktari wa Boston wafanikiwa kupandikiza Uume

Thomas Manning anaonekana mwenye furaha baada ya upasuaji

Hospitali moja mjini Boston imekuwa ya kwanza nchini Marekani kufanya Operesheni ya kupandikiza uume.
Thomas Manning mwenye umri wa miaka 64 alipatiwa kiungo hicho baada ya kugundulika kuwa uume wake uliathirika na saratani.
Madaktari wamesema zoezi hilo limefanikiwa na kumfanya Manning kuwa mtu wa tatu dunia nzima kufanyiwa upasuaji huo.
Mmoja wa madaktari waliofanya upasuaji huko Boston ni Dicken Ko, amesema wanaume wanaopoteza maungo yao hupata athari za kisaikolojia kwa kuwa ni maeneo nyeti yanayoathirika wengi wao hawapendi kufahamika hadharani.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment