mwanazuoni

WANAHARAKATI WALIOLETA MAPINDUZI SMMUCO _ MASOKA AMBAO CHONJO NA TEMU HAWATAWASAHU KAMWE


       HAPA TUPO NDANI YA KIVUKO TUNA TOKA NEVI BEACH TULIPOKUWA TUMEWEKA KAMBI KWA AJILI YA KWENDA KUCHUKUA JIBU KUTOKA KATIKA OFC YA WAZIRI MKUU
                                                      MWANAHARAKATI MAJANI

                                                   MWANAHARAKATI JIMMY MASTER

            WANAHARAKATI WAKISUBIRI MAJIBU KUTOKA KWA BEPALI CHONJO


                         CAPTAIN MANYA MKUU WA KIKOSI CHA WABIGANAJI

     MWAHARAKATI NA MKEMIA MKUU MANYARA HAKITAFAKALI JAMBO NDANI YA                                                    CHUMBA CHA MKUTANO
             WANAHARAKATI WAKIBADILISHANA MAWAZO NA MBINU ZA MAPAMBANO
                                    MWAHARAKATI RAMA MZEE WA PASI NDEFU
                   KWA HUDHUNI NA MASIKITIKO MTUNZI HAAMINI KAMA KANISA LINAIBA

                             MWAHARAKATI MUDDY AKICHEKA KWA HASIRA

   MASIKINI MANYARA NDIO UKUBWA , ANAPIGWA NA JUA KWA AJILI YA KUDAI HAKI  YA WANYONGE KATIKA OFC YA WIZARA YA ELIMU DAR.

 MWANA SHERIA ELIBARICK PETER AKIFATILIA KWA KARIBU ZOEZI ZA KUANDIKA BARUA KWENDA KWA CHONJO NA TEMU

  HATA AKINA DADA  HAWA KUWA NYUMA . HAPA NI ENEO LA MAGOGONI WAKIPEWA HABARI KUTOKA KATIKA OFC YA WAZIRI MKUU

  MWAHARAKATI HUYU KAAMUA KUWA  MSANII BAADA YA CHONJO KUKATILI MAISHA YAKE

                                                                    MR BRAYO

  CAPATIN MANYA KAAMUA KWENDA KUENDELEZA FAMILIA BAADA YA KUZURUMIWA NA KANISA (SMMUCO)
                               HONGERA DADA UMEAMUA KUWA MWANAMITINDO

             CHIEF MWANGA WANAHARAKATI MWENYE HASIRA NA SERIKALI 

      KWELI CHONJO AMEONYESHA NJIA KWANI SMMUCO WATU WALIKUWA WANAPOTEA MWAHARAKATI HUYU KALA SHAFU HAPA.

   HONGERA KUTOKA KWENYE OMA MPAKA KUWA MWANASHERIA

                          KAKA HANA HASIRA NA TEMU NA CHONJO HUYU JAMAA

                                                         KAAMUA KUWA MODE 

                                                                      MKEMIA 

 KAKA ANAFURAHI UTALII NDIO MAANA KAKIMBIA KUFUA SHUKA KWA CHONJO HONGERA MBABA
          MWANAHARAKI ALIYE ONYESHA WAZI HASIRA ZAKE KWA CHONJO SIKU YA KIKAO KWA WAZIRI MKUU

                              MWANAHARAKI ALIYEKATA KUWA SECRETARY


   MWANAHARAKATI UPENDO ANAYEFATA NYAO ZA BIBI TITI MUHAMMED.

Huyu ni mwana harakati ambaye ana uwezo wa kuchambua mambo na kutafakari kuliko Pro Chonjo na Temu . Hamefanikiwa kuwa kuboa wananchuo wake wa SMMUCO- MASOKA campus kutoka katika Dhuruma na unyanyasaji kutoka kwa wadharimu, ambao awapendi mtoto wa  mkulima kupata mafanikio.
Hongera sana dada kwa kuwakomboa watoto wa mama ntilie japo kuwa Pro Chonjo na TEMU waliamisha jalala.

Hawa ndo wanaharakati ambo wameleta mapinduzi makubwa smmuco wanafahaa kupongezwa kwa kazi yao. wanakumbwakwa kwa mema yao hivyo ungana nao katika sherehe ya kukumbuka siku ya uonevu wa askofu na kanisa chini ya bepali CHONJO NA A. TEMU iTAAKYOKUWA  TAREHE 04-05-2012


                                   WE SHALL OVER COME

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment