mwanazuoni

HALI YA SINTOFAHAMU NDANI YA MAKAO MAKUU CHADEMA

Hali si shwali ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA). Kume kuwa na hali ya kutoaminia kati ya mtu na mtu, viongozi kwa viongozi, jambo hili limedhihirika pale tu Mhe Zito Zuber Kabwe baada ya kumuandikia Dr Slaa barua ambayo ni siri kwani halikuwa anamshauri kuhusu suala la Lwakatare lakini baada ya muda mfupi barua hiyo imekuwa ikisambaa ndani ya mtandao ya kijamii hali ya kuwa kama matangazo ya biashara.

Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment