Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam leo imemuhukumu Katibu wa Jumuiya
na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda kifungo cha nje
cha mwaka mmoja, huku washtakiwa wengine wote 49
wakiachiwa huru.
Leo mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, imemuachia kiongozi na mwaharakati za Haki za waislam nchini Tanzania sheikh Ponda pamoja na wafasi wake 49.
0 comments:
Post a Comment