mwanazuoni

HAKUNA ALIYEJUA MWISHO WAKO


           Huu ndio mwisho wa kumuona Babu yetu akiwa pamoja na vijana wake wa OT akishangilia na akiwa katika rangi nyekundi , kapumzike babu umeweza kutengeneza heshima kubwa sana katika dunia na umeleta mafanikio ambayo sasa tunaamini yatakuwa ndoto kwa kipindi hiki kigumu ulichotuacha nacho. Tunalia kwa huzuni japokuwa tunajifariji lakini ukweli utabaki pale kuwa tujiandae kunywa vidonge vya maumivu kama ndugu zetu Arsenal, Chelsea na Man City kwani Liverpool wameshakuwa sugu. Tunakupenda ila nenda kapumzike na Bibi huku ukitukumbuka wajukuu zako.





























Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment