|
P Funk akiwa ndani ya Ofisi yake |
|
Majani ndani ya Bongo Record | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | | |
|
|
|
|
|
|
|
Producer nguri wa nchini Tanzania anaye julikana kwa Jina P FUNK MAJANI, ameonyesha kumuunga mkono mwana dada Jide na kwamba
anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani
amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.
Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu. ameandika hayo kupitia account yake ya Twiter.
@JideJaydee I think its really high time others follow in ur Footsteps!! Count Me in!
Hizi ni Tweet za P-Funk Majani za May 4:
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment