mwanazuoni

MADAWA YA KULEVYA YAWATESA WATANZANIA, MTANZANIA MWINGINE AKAMATWA CHINA



 Mtu mmoja jana alisema sasa hivi wasafiri watokao Tanzania wanakaguliwa kwa makini zaidi ya ilivyokuwa hapo awali kutokana na matukio ya kukamatwa na dawa za kulevya! Hii ni sifa mbaya mno kwa raia na Taifa zima!

Iliyopachikwa hapo chini ni taarifa kutoka kwenye tovuti ya Serikali ya Hong Kong ya Julai 26, 2013. 


Siku chache zilizopita mtanzania Agnes Masogange alikamatwa na madawa ya kulevya pia kuna tetesi kuwa mtanzania mwingine amekamatwa kama vyanzo vya habari vinavyoripot kuhusiana na tatizo hilo. Tutaendelea kuwajuza kinachoendelea kuhusiana na tukio zima.
Share on Google Plus

. Mtani

Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment