Operesheni za Serikali zimejaa ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu. Operesheni kimbunga pia iliumiza raia wasio na hatia. Uwajibikaji haukwepeki kabisa. Suala la utamaduni tulishughulikie. Lakini lazima kujenga utamaduni wa uwajibikaji kwa matendo maovu ikiwemo matumizi mabaya ya fedha za umma na hata masuala ya uadilifu kwa familia zetu
UNYAMA KATIKA OPERESHENI TOKOMEZA UJANGILI:
Mauaji kama ilivyo ufisadi yamekuwa ni sehemu ya utamaduni wetu na sasa inageuka kuwa hulka ya nchi yatu kiasi kwamba hata wale enzi za uongozi wa Mwalimu Nyerere tuliwaita manyang'au sasa wanatushangaa sasa jinsi tunavyojimaliza.
Tuliacha vijana wakiuawa na kuchomwa moto eti ni vibaka.
Tukaacha vyombo vya dola vifanye Mauaji eti ni majambazi sugu na wakorofi.
Tumeacha wananchi wanashambulia watumishi wa umma eti wananchi wenye hasira kali.
Sasa wananchi wanauana wao kwa wao eti wamechoka, wamekosa matumaini.
Hili sasa ni ni zaidi ya tatizo la kisiasa au uongozi ama mfumo. Ni tatizo la kiutamaduni. Mauaji kama ufisadi na maovu mengine yanakuwa ni sehemu ya utamaduni wetu.
Kutoana kafara na kutafutana uchawi haisaidii. Wakati tunapigania kujenga utamaduni wa uwajibikaji tunapaswa pia kuwajibika kwa role zetu katika kujenga utamaduni huu wa kinyama. Tujisahihishe!

Zitto Kabwe shared Mimi Mwanakijiji's status.
Hakutabadili lolote. Maana wameshajiuzulu na kufukuzwa wengi na hakuna mabadiliko ukiachia maeneo machache kama madini na uchukuzi. Mfumo Mzima umeoza. Changamoto zetu ni zaidi ya watu na vyama. Uwezo wa wanasiasa kubadili mfumo na mdogo sana, nchi inahitaji mapinduzi! Wanasiasa wanahubiri status quo.
Swali la Ugomvi: Kujiuzulu kwa Kagesheki na kufukuzwa kwa Nchimbi na wenzake unafikiri kutabadilisha utendaji wa mawaziri wengine? Unafikiri wakiingia wengine utendaji wao utakuwa tofauti?
Hili ndio bunge linalotakiwa .Angalao limeonyesha weledi.
Lembeli na kamati yake amefanya kazi yake
Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Tundu Lissu umeonyesha Leadership na kuhakikisha hakuna kukwepa mjadala na kuburuzwa
Kagasheki,Umeonyesha uwajibikaji.You didn't just resign.The cards were placed on the table for you to choose.Kudos,umeonyesha accountability kama Tunu muhimu kiuongozi na kidemokrasia.Umejilindia heshima ndogo uliyobakiza tofauti na hao waliosubiri hadi watemwe hasa yule bingwa wa kuratibu udhibiti wa maandamano ya upinzani na mlinzi wa wauaji wa Daudi Mwangosi na wang'oa Kucha na Meno.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ni dhaifu na amepoteza haiba ya kiuongozi na kisiasa.Amepoteza umaarufu.Hajaonyesha uungwana wa kiuongozi
Wabunge wote isipokua yule Mwanamama mmoja aliyeleta siasa za kinazi wamefanya vizuri
This is just outstanding and impressive
Sasa maazimio ya Bunge yatekelezwe.Ila Kikwazo bado ni Rais,CCM na mfumo wake.

KUJIUZULU kwa kagasheki ni FUNZO kwa viongozi wengine wa kisiasa, ambao wamekumbatia madaraka yao huku wakishindwa kutekeleza majukumu. Mfano,mmmh mi sitaji, lakini kila mtu ajipime anapofanyia kazi, kama haufit basi jiuzulu kabla ya kufukuzwa kama Mathayo, Chimbi na Vuai. Hata kama ni mtendaji wa kijiji/mtaa. Huo alioonyesha kagasheki ni Uzalendo wa hali ya juu. Hata katibu mkuu wa chadema, mwenyekiti na n.k hawawezi.
Mtani
Mshana is Tanzanian blogger who writes different news without bias, He provides social, political and sports as well as Entertainment news happening in all parts around the World."STAY ME ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.."
0 comments:
Post a Comment